Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Screenshot_20230411-125310_Instagram.jpg
 
Naam Jirani.

The bad news hamshindi.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Sema hizi game za usiku saa ingine natingwa siwi Online ila nikiwa online nitakutag Jirani.

Niamini ushindi upo.

Na tukikutana na simba jumamosi tunachukua points tatu zingine tunakuwa tumewaacha kwa jumla ya points 11.
 
Hapana Jirani.

Nakuambia hamshindi. Niamini Mimi. Takutagi mapemaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom