Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila tuweni wakweli sisi kwenye kuzitumia nafasi huwa tuna mzaha sana.
Tarehe 16 wajipange mikia.Hilo ni kweli kabisa na game ya leo wachezaji wengi wamechaza kwa tahadhari
Hahahaa. Lol
Na wajipange haswa....hiyo forward line itamuachaje Mikia FC.Tarehe 16 wajipange mikia.
Hamna cha kuwazuia Shem.Na wajipange haswa....hiyo forward line itamuachaje Mikia FC.
Nitakuonesha jumapili tuombe Mungu.UTO GONGOWAZI
Ameshaanza kuandika kiuoga uoga hivyo uezi muona. 😅😅Nitakuonesha jumapili tuombe Mungu.
Ili tuheshiane kabisa shemela.Kesho ndo ile siku tunaisubiria kwa hamu Timu ya Wananchi.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Kabisa Shem.Ili tuheshiane kabisa shemela.