Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

c601c6be-8abe-4d75-be4b-fa15d90be575.jpg
 
Shida ya Yanga ni UCHOYO wa wachezaji na kukosa nafasi nyingi hasa MAYELE.

Kama leo mm ningekuwa Kocha basi Mayele angeanza Benchi na Namba 9 ningemuweka MUSONDA, 10 AZIZ KI, 11 MORRISON, 7 KISINDA.

Game ya Leo, MOLOKO haimfai kwa maana inahitajika zaidi ENERGY.

Kikosi natarajia kiwe hivi.
1. DIARRA
2. DJUMA
3. LOMALISA
4. BACCA
5. BANGALA.
6. MAUYA
7. KISINDA
8. AUCHO
9. MUSONDA
10. AZIZ KI
11. MORRISON

Tunawadharau sana MAUYA na KISINDA but kwenye game zinazohitaji ukabaji wa maana hao wanasaidia kuliko SUREBOY na MOLOKO.

MAYELE uchoyo sana, game nyingi Yanga imekosa matokea mazuri zaidi kwa uchoyo wake.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1]mkuu unataka zawadi mauya aanze
 
Shida ya Yanga ni UCHOYO wa wachezaji na kukosa nafasi nyingi hasa MAYELE.

Kama leo mm ningekuwa Kocha basi Mayele angeanza Benchi na Namba 9 ningemuweka MUSONDA, 10 AZIZ KI, 11 MORRISON, 7 KISINDA.

Game ya Leo, MOLOKO haimfai kwa maana inahitajika zaidi ENERGY.

Kikosi natarajia kiwe hivi.
1. DIARRA
2. DJUMA
3. LOMALISA
4. BACCA
5. BANGALA.
6. MAUYA
7. KISINDA
8. AUCHO
9. MUSONDA
10. AZIZ KI
11. MORRISON

Tunawadharau sana MAUYA na KISINDA but kwenye game zinazohitaji ukabaji wa maana hao wanasaidia kuliko SUREBOY na MOLOKO.

MAYELE uchoyo sana, game nyingi Yanga imekosa matokea mazuri zaidi kwa uchoyo wake.
Nakubali.
 
I concur with you
 
Ofcourse, ni bora sana kwenye kukaba. Ni aina ya wachezaji ambao mara kibao tunawadharau ila wanafanya kazi kubwa.
Mauya hamna kitu kaka tusijidanganye, hana pumzi pia umri umeenda. Ukitaka mafanikio kwenye timu wachezaji wa kibongo wasizidi watatu kwenye first eleven.
 
Tunafungwa leo,Timu yetu haijajipanga hata kwenye kusafiri.Yanga sijui tunashida gani
 
Back
Top Bottom