Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Amemfunga nani?????huyu kwa wydad hapigi hata off target moja
Dooh! Umeshajisahaulisha kuwa hizo goli 50 zipo na alizowafunga na nyie. 🤣🤣

Wee naae ifikie hatua ukubali tu kuwa Mayele ni another level kwenye kuscore.
 
Dooh! Umeshajisahaulisha kuwa hizo goli 50 zipo na alizowafunga na nyie. [emoji1787][emoji1787]

Wee naae ifikie hatua ukubali tu kuwa Mayele ni another level kwenye kuscore.
Anaza levo katka kutingisha manyonyo labda ila ....Afrika nzima wiki hii mshambuliaji bora ni JEAN OTHOS BALEKE
 
Screenshot_20230425-203236_Instagram.jpg
 
Bila shaka leo ndio ile siku ya Timu ya Wananchi kuliheshimisha Taifa.

Kila la kheri Timu ya Wananchi hapo 19:00Hrs.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
 
Back
Top Bottom