Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kuna mbumbu mmoja akasema ile hela ya kutoka Makundi kwenda robo fainali wanapewa wale tu walioshindwa kufuzu kuingia nusu fainali kwahiyo yanga ile Tsh.million 800 hapewi wanapewa hii 1b.yakuingia nusu. Nikaishia kuguna nikasema kweli Kanjibai anayohaki yakuwaburuza mambumbu.....maelezo kidogo
 
Duuh! Ngoja wenye kujua waje watujuze Mkuu.

Japo kama inashangaza.
 
Kila la kheri singida
Singida na MARUMO gallants ni ndugu

BAHLABANE BA NTWA [emoji1221][emoji1221][emoji1241][emoji1241]
 
Back
Top Bottom