Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Screenshot_20230504-164902_Instagram.jpg
 
Ukiwa na wanasheria wanapenda kutinduliwa, ni hasara kwako. Fatima, mwongoze Faisal kumalizana na Yanga kwa amani, la sivyo itakula kwake. Na tutafungua madai, anakula mshahara pasipo kuwa kaziniView attachment 2610999
Matuai ya nini sasa kwa wakili????


Mkiambiwa hamna akili mnalalamika ila huo ndio uhalisia


HUNA AKILI.
 
NJITI atoka hadharani na kuthibitisha kuwa utopolo wamegongwa faini na CAF kutokana na ulozi[emoji1787]
 
Back
Top Bottom