Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ile siku ya Timu ya Wananchi kuliheshimisha taifa kwa mara ingine imewadia. 💪
 
WANANCHIIIIIII LEO NI SIKU AMBAYO TUNAENDA KUUONESHA ULIMWENGU KWAMBA YANGA INA UKUBWA KIASI GANI.MAKOLO
WAMEJARIBU KUIKUZA MARUMO KWA KILA NAMNA ILA LEO TUTAENDA KUWAONESHA YANGA NI NANI.
EWE MWANANCHI TEMBEA KIFUA MBELE KWANI LEO NDIO TUNAENDA KUINGIA FAINALI RASMI.
LEO MADUNDUKA YATALILIA CHOONI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…