Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

[emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471]
IMG_20230513_203027.jpg
 
Wakati wengine wakiwa wanahangaika na Fei sisi tunajipanga kuweka heshima. [emoji28]
View attachment 2615331
Feisal mjinga sana. Alikuwa na mradi wa kuivurugia Yanga hesabu zake. Yeye na waliomtuma wameshindwa. Halafu jambo moja la kushangaza, tangu ajitenge na Yanga, kikosi kimekuwa imara maradfufu, hakishikiki ni unstoppable
 
Kabisa Mkuu. Na ukiangakia hata zile Drama zake alikuwa anazitengeneza tukikaribia kuwa na mechi akijua tutatetereka.

Ila mpaka hapa tulipofikia ana cha kujifunza tena kikubwa mno.
 
Kabisa Mkuu. Na ukiangakia hata zile Drama zake alikuwa anazitengeneza tukikaribia kuwa na mechi akijua tutatetereka.

Ila mpaka hapa tulipofikia ana cha kujifunza tena kikubwa mno.
Mwisho wa siku hata kama atarejea kwa kuomba msamaha, inabidi tu auzwe tu asije kutuletea nuksi.
 
Tusiendekeze fix kama hizi, hata iweje hakuna timu AFRIKA hii itafikia ubora wa hata 150 Bora kidunia.
Hili la Yanga sc kuizidi Simba kwenye viwango vya ubora caf & fifa inawauma sanaa wanabaki kubisha mpaka takwimu yaani makolo chaka lenu limezibuliwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji108]
 
Wananchiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiii iiiiiiiiiiiii [emoji172][emoji169]
Jamani wanachiiiiiiiiiiiiiiiiiii wenzangu naombeni Kura yenu kwenye Uzi wangu wa stories of change...
Like na komenti yako ni muhimu sana...

Tuzidi kuiombea Yanga Kule south ifanye poa dhidi ya Marumo Gallants....
 
Back
Top Bottom