Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa! LOL.Sidhani kama ukiwazacho ndicho kipo mawazoni mwake,
Hongereni sana
Karibu South Africa kesho uduwae tena. 😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa! LOL.Sidhani kama ukiwazacho ndicho kipo mawazoni mwake,
Hongereni sana
🙏🙏Hongereni kwa ubingwa wa ligi utopolo....
HAKIKA...!!!Leo ndo leo Timu ya Wananchi inakwenda kuandika historia ingine.
Kikubwa tukacheze kwa tahadhari huku tukilinda ule Mtaji wetu wa bao mbili.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Mimi ni Shabiki wa Yanga hata kabla ya wewe Kuzaliwa.Hili la Yanga sc kuizidi Simba kwenye viwango vya ubora caf & fifa inawauma sanaa wanabaki kubisha mpaka takwimu yaani makolo chaka lenu limezibuliwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji108]
Kabisa Mkuu.HAKIKA, HII NDIO DAR YOUNG AFRICA
DAIMA MBELE, NYUMA MWIKO...!!!
Sasa tunachotaka ni KOMBE TU
Bila shaka huu ni mwaka wetu.Leo nimefurahi sana.
Hongera wanananchi wenzangu.
Mungu atusaidie tuchukue kombe.
Nilisikia tutaanzia ugenini.Nasikia na Final kuna home & away hivyo sisi Timu ya Wananchi tunànzia wapi?
Ni nyumbani tunaanzia. Finali ni Semi final 1 vs semi final 2Nilisikia tutaanzia ugenini.
Tunaanzia ugenini tunamaliza kwa mkapaNasikia na Final kuna home & away hivyo sisi Timu ya Wananchi tunànzia wapi?