The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twende tuu kwa kweli[emoji23][emoji23]Hahahaa! Hamna vigezo zaidi ya vile vinavyofanya uweze kuingia nchi nyingine kihalali. [emoji1787][emoji1787]
Kama unania tuambiane twende. [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23]duuhInatakiwa uwe na jezi ya yanga ya mwaka 1992
🤣🤣 ndio ndio. 💃💃Twende tuu kwa kweli[emoji23][emoji23]
Huu ndio ukweli wenyewe Mkuu.
Makolodundukaz wataikataa hii.
Akili zake za kengeFeisal mjinga sana. Alikuwa na mradi wa kuivurugia Yanga hesabu zake. Yeye na waliomtuma wameshindwa. Halafu jambo moja la kushangaza, tangu ajitenge na Yanga, kikosi kimekuwa imara maradfufu, hakishikiki ni unstoppable
Dogo alikuwa na kimaviFeisal mjinga sana. Alikuwa na mradi wa kuivurugia Yanga hesabu zake. Yeye na waliomtuma wameshindwa. Halafu jambo moja la kushangaza, tangu ajitenge na Yanga, kikosi kimekuwa imara maradfufu, hakishikiki ni unstoppable
Aliko lazima anajuta. Kwa kuwa tulianza safari pamoja, medali yake tutampa mngeserema yule.Dogo alikuwa na kimavi
Timu ipo singidaTimu inatua lini bongo?
Kama kawaida yetu.Imewadia siku nyingine ya kujihakikishia kuingia Fainali kwenye kombe la ASFC.
Nia tunayo na Kikosi bora pia tunacho.
Kila la kheri Timu ya Wananchi hapo 15:30hrs.
Kabisa Mkuu. Wacha tuwaonyeshe namna ya kuingia Fainali.Kama kawaida yetu.