Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaa. Kabisa Mkuu tusitembee mmoja mmoja. 😅Najua mambo na majukumu ni mengi sana kwa Kila mmoja humu. Hivyo naomba nitumie nafasi hii kujitolea kuwakumbusha kwamba Yanga ndio Mabingwa Ngao ya jamii na ligi kuu ya NBC mwaka 2023. Na wanasubiri kucheza fainali ya ASFC na CCC pia. Mashabiki Wa Yanga tuwe makini ktk kipindi hiki, tuepuke kutembea mmoja mmoja!
Cc. Beeb