Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Screenshot_20230603-111852_Instagram.jpg
 
Kila la kheri Timu ya Wananchi leo ndo ile siku tutakayoenda kuwashangaza walio wengi kwa kuandika historia nyingine kubwa.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
 
EWE MWANANCHIIIII HAKIKA LEO NI SIKU AMBAYO TUNAENDA KUUDHIHIRISHIA ULIMWENGU KWAMBA YANGA NI KUBWA KIASI GANI NA TUNA UKUBWA KIASI GANI KATIKA SOKA.
NAJUA KUNA WATU HAWATA PENDA HISTORIA TUNAYOENDA KUIANDIKA LEO HII.

NIKUOMBE TU KAMA HUNA USTAHMILIVU NA TIMU YA YANGA USIANGALIE MECHI YA LEO.
MECHI HII NI KWA AJILI YA WABOBEZI WA SOKA.
💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
 
ASANTE SANA TIMU YANGU PENDWA YOUNG AFRICANS,ASANTE KWA KILA MTANZANIA ALIYETAMANI TIMU YA TANZANIA ICHUKUE UBINGWA ILA IMESHINDIKANA. DUNIA,AFRIKA NA TANZANIA WOTE TUMESHUHUDIA MPIRA NI MCHEZO WA WAZI! ASANTE SANA WACHEZAJI WANGU NIMEONA JASHO LIMEVUJA,DAMU KWELIKWELI. ASANTE SANA BENCHI LOTE LA UFUNDI, SIWADAI CHOCHOTE!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MEDALI BILA KOMBE NI SAWA NA KUVAA HIRIZI TU[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
EWE MWANANCHIIIII HAKIKA LEO NI SIKU AMBAYO TUNAENDA KUUDHIHIRISHIA ULIMWENGU KWAMBA YANGA NI KUBWA KIASI GANI NA TUNA UKUBWA KIASI GANI KATIKA SOKA.
NAJUA KUNA WATU HAWATA PENDA HISTORIA TUNAYOENDA KUIANDIKA LEO HII.

NIKUOMBE TU KAMA HUNA USTAHMILIVU NA TIMU YA YANGA USIANGALIE MECHI YA LEO.
MECHI HII NI KWA AJILI YA WABOBEZI WA SOKA.
[emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169]
Pole
 
Kila la kheri Timu ya Wananchi leo ndo ile siku tutakayoenda kuwashangaza walio wengi kwa kuandika historia nyingine kubwa.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Toeni mwiko mtaandika historia..bila hivo mtabaki na mwiko wenu...
 
Kila la kheri Timu ya Wananchi leo ndo ile siku tutakayoenda kuwashangaza walio wengi kwa kuandika historia nyingine kubwa.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hongera kwa ushindi.
Ila Kombe sio lenu.
 
Back
Top Bottom