Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Najua mambo na majukumu ni mengi sana kwa Kila mmoja humu. Hivyo naomba nitumie nafasi hii kujitolea kuwakumbusha kwamba Yanga ndio Mabingwa Ngao ya jamii na ligi kuu ya NBC mwaka 2023. Na wanasubiri kucheza fainali ya ASFC na CCC pia. Mashabiki Wa Yanga tuwe makini ktk kipindi hiki, tuepuke kutembea mmoja mmoja!
Hahahaa. Kabisa Mkuu tusitembee mmoja mmoja. 😅

Cc. Beeb
 
Wananchiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiii iiiiiiiiiiiii [emoji172][emoji169]
Jamani wanachiiiiiiiiiiiiiiiiiii wenzangu naombeni Kura yenu kwenye Uzi wangu wa stories of change...
Like na komenti yako ni muhimu sana...


Tuzidi kuiombea Yanga Kule south ifanye poa dhidi ya Marumo Gallants....

Wananchiiiiiiiiiiiiiiiii [emoji172][emoji169] msisahau kunipigia Kura kwenye shindano la stories of change
 
Wakati wengine wapo busy na kuchangishana sisi tupo busy na mambo ya maana
img_1_1685189395790.jpg
 

Wananchiiiiiiiiiiiiiiiii [emoji172][emoji169] msisahau kunipigia Kura kwenye shindano la stories of change
Mie yangu kitambo saana Mkuu.
 
Back
Top Bottom