Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Trh 28 May yanga anaweka sasa historia kwa Tz na kuungana na vilabu vingine vitatu kwenye ukanda huu kubeba nauhakika watashinda bao 3 au zaidi na kuwa mzigo kubwa kwa wapinzani Wao kurudisha goli hizo
 
Najua mambo na majukumu ni mengi sana kwa Kila mmoja humu. Hivyo naomba nitumie nafasi hii kujitolea kuwakumbusha kwamba Yanga ndio Mabingwa Ngao ya jamii na ligi kuu ya NBC mwaka 2023. Na wanasubiri kucheza fainali ya ASFC na CCC pia. Mashabiki Wa Yanga tuwe makini ktk kipindi hiki, tuepuke kutembea mmoja mmoja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…