Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mi mwenyewe pia nimeshituka eti hajawahi kuifundisha timu ikachukua ubingwa wa Ligi akiwa kocha mwanzo mwisho. [emoji848]

Ila ngoja tumpe nafasi tuone Mkuu.
Muhimu wambakishie wachezaji wengi wa msimu ulopita na Kwa wale watakaoondoka basi wamletee wachezaji wazuri wa kuziba hayo mapengo. Kimfumo hawatofatiani na Nabi hapo uongozi umetumia akili sana. Hata Nabi alikuja kwetu akiwa ametimuliwa na El Merreikh baada ya kutoa sare na Makolo.
 
Screenshot_20230629-155422_Instagram.jpg
 
Yannick Bangala,Djuma Shabani Na Lomalisa Kama Wanataka Kuondoka Waondoke Tu Hersi Wala Asisite Kuwaachia....Maana Timu ili Ifanikiwe Lazima Ibaki Na Wachezaji Ambao Akili Na Miili Yao Vyote Vipo Tayari Kuipambania.
Zilikuwa ni tetesi tu za Makolo FC, wala hawakuwa na makusudi hayo.

Wakongo ni weledi sana kwenye mikataba yao.

Wasingeweza kufikiria kuondoka ikiwa working condition bira zaidi zinapatikana Avic Town.
 
Afisa habari wa Yanga Ndg Ally Kamwe leo alikutana na waandishi wa habari na haya ndio yaliyojiri.

Screenshot_20230703-162523_Instagram.jpg

"Tumepokea mwaliko maalumu kutoka kwa Serikali ya Malawi kucheza mchezo maalumu kwenye maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Malawi itakayofanyika Julai 6, 2023. Ni heshima kubwa sana kwa Klabu yetu na kwa Taifa kwa ujumla" Afisa Habari Young Africans SC @alikamwe

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
 
"Mgeni wa heshima kwenye sikukuu za uhuru wa Malawi ni Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na serikali ya Malawi ikatupa heshima hii ya kipekee kwa mualiko huu mkubwa na wa kihistoria" @alikamwe

Malawi ni Tukuyu iliyojitenga
 
"Napenda kutoa shukrani na pongezi kwa wachezaji wetu ambao watatoka mapumzikoni na kuungana nasi kwenda kuiwakilisha Nchi na Klabu yetu kwenye mualiko huu mkubwa. Tunatarajia kuondoka siku ya Jumatano na kama kawaida yetu ndege maalum kabisa itatupeleka Malawi na kutusubiri kisha tutarejea Dar es Salaam siku ya Alhamisi baada ya sherehe hizo" @alikamwe

#daimambelenyumamwiko
 
"THANK YOU bado hazijafika mwisho bado zinaendelea, wapo Wachezaji na baadhi ya Watendaji kwenye idara mbalimbali ambao ndani ya wiki hii watapewa THANK YOU na kuwafungulia fursa wakapate changamoto kwenye maeneo mengine.

Mpaka sasa hivi tumemaliza Usajili kwa msimu huu, Wachezaji wote ambao tulikuwa tunawahitaji tayari wameshasaini, tumefunga zoezi la Usajili kinachofuatia ni kuwatambulisha Wachezaji hawa na zoezi hilo litaanza baada ya utambulisho wa Jezi mpya" @alikamwe

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
 
"Tumepokea mwaliko maalumu kutoka kwa Serikali ya Malawi kucheza mchezo maalumu kwenye maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Malawi itakayofanyika Julai 6, 2023. Ni heshima kubwa sana kwa Klabu yetu na kwa Taifa kwa ujumla" Afisa Habari Young Africans SC @alikamwe
Shida inapokuja ni pale ambapo timu ya kucheza haijaundwa maana wachezaji wamepewa mkono wa kwa heri lakini hakuna wapya waliosajiliwa, benchi la ufundi limesambaratika, wacongo wanagomea mikataba etc. Huko Malawi tutaendaje?
 
Soma post 23467 inatoa jibu kuhusu hilo.
 
Afisa habari wa Yanga Ndg Ally Kamwe leo alikutana na waandishi wa habari na haya ndio yaliyojiri.

View attachment 2677372
"Tumepokea mwaliko maalumu kutoka kwa Serikali ya Malawi kucheza mchezo maalumu kwenye maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Malawi itakayofanyika Julai 6, 2023. Ni heshima kubwa sana kwa Klabu yetu na kwa Taifa kwa ujumla" Afisa Habari Young Africans SC @alikamwe

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
Naskia Makolo Waliwahi Kualikwa Zambia Mwaka 1970 [emoji1787]
 
Soma post 23467 inatoa jibu kuhusu hilo.
Nainukuu hapa hiyo post namba 23,467. Hata hivyo bado sijaona jawabu la wapi wachezaji wa safari ya Malawi watatoka:

"
THANK YOU bado hazijafika mwisho bado zinaendelea, wapo Wachezaji na baadhi ya Watendaji kwenye idara mbalimbali ambao ndani ya wiki hii watapewa THANK YOU na kuwafungulia fursa wakapate changamoto kwenye maeneo mengine.

Mpaka sasa hivi tumemaliza Usajili kwa msimu huu, Wachezaji wote ambao tulikuwa tunawahitaji tayari wameshasaini, tumefunga zoezi la Usajili kinachofuatia ni kuwatambulisha Wachezaji hawa na zoezi hilo litaanza baada ya utambulisho wa Jezi mpya" @alikamwe
 
Nainukuu hapa hiyo post namba 23,467. Hata hivyo bado sijaona jawabu la wapi wachezaji wa safari ya Malawi watatoka:

"
THANK YOU bado hazijafika mwisho bado zinaendelea, wapo Wachezaji na baadhi ya Watendaji kwenye idara mbalimbali ambao ndani ya wiki hii watapewa THANK YOU na kuwafungulia fursa wakapate changamoto kwenye maeneo mengine.

Mpaka sasa hivi tumemaliza Usajili kwa msimu huu, Wachezaji wote ambao tulikuwa tunawahitaji tayari wameshasaini, tumefunga zoezi la Usajili kinachofuatia ni kuwatambulisha Wachezaji hawa na zoezi hilo litaanza baada ya utambulisho wa Jezi mpya" @alikamwe
Hivi unasoma ukiwa una pombe kichwani?
Unauliza swali "Shida inapokuja ni pale ambapo timu ya kucheza haijaundwa maana wachezaji wamepewa mkono wa kwa heri lakini hakuna wapya waliosajiliwa, benchi la ufundi limesambaratika, wacongo wanagomea mikataba etc. Huko Malawi tutaendaje?"

Timu haijaundwa ni sawa, je hiyo mechi ya Malawi ni ya kimashindano? Hakuna wachezaji waliosalia kwenye klabu kiasi kwamba timu haitofikisha wachezaji 11 uwanjani wa kwenda Malawi?

Wacheza na benchi la ufundi kupewa mkono wa kwaheri ni jambo la kawaida kwenye mpira wa miguu hasa kuelekea msimu mpya na ndio maana kunakuwa na pre season ili kutengeneza timu kabla ya msimu haujaanza je cha ajabu ni kipi?

Na umeongelea kuhusu kutokuwepo kwa wachezaji wapya waliosajiliwa.

Taarifa imewekwa wazi kabisa na msemaji wa Yanga kuwa wachezaji wote waliotakiwa na Yanga kusajiliwa, wameshasaini kilichobakia ni utambulisho tu ambao utafanyika sambamba na uzinduzi wa jezi.

Na hoja yako ya kuwa wacongo wamegomea mikataba pia inajibiwa na kauli ya msemaji wa Yanga kuwa Thank you bado haijaisha kwa wachezaji na watendaji wa timu, hivyo uongozi ndani wanajua ni nani na nani watakaondoka na nani watakaosalia na kina nani tayari wameshawasajili ndio maana umeambiwa usajili tayari wameshafunga kilichobakia kuzindua jezi na kuingia pre season.
 
Back
Top Bottom