Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Taarifa imewekwa wazi kabisa na msemaji wa Yanga kuwa wachezaji wote waliotakiwa na Yanga kusajiliwa, wameshasaini kilichobakia ni utambulisho tu ambao utafanyika sambamba na uzinduzi wa jezi.
Kusaini haimaanishi wala hailazimishi kuwa wapo Tanzania. Akina Mayele walisaini wakiwa Congo, yaani walifuatwa. Aziz Ki alisaini akiwa na mama yake huko Ouagadougou. Wote hao waliwasili Bongo baadae
 
Kusaini haimaanishi wala hailazimishi kuwa wapo Tanzania. Akina Mayele walisaini wakiwa Congo, yaani walifuatwa. Aziz Ki alisaini akiwa na mama yake huko Ouagadougou. Wote hao waliwasili Bongo baadae
Wapi ulipoambiwa kuwa wamesajiliwa na wapo Tanzania?
 
Kama kawaida Timu ya Wananchi tuko Malawi kuuitikia Mwaliko wa Rais wa Malawi.
Screenshot_20230705-172709_Instagram.jpg
 
Yanga iachane na wachezaji wafupi sasa. Tunatumia nguvu kubwa sana kushinda game rahisi.
Hivi vichezaji vya kitanzania vingi ni vifupi tusivipe nafasi sn, huyo kibabage sijui sikupenda kabisa asajiliwe Yanga, hii ni timu kubwa kuliko zote hapa Tanzania na Afrika mashariki na kati kwa sasa, tuangalie aina ya watu tunaosajili sio uchafu wa hovyo, ikibidi kama itatulazimu kusajili mchezaji wa kitanzania kama yupo Simba au Azam twende tukawachukue huko huko mana hakuna mchezaji asiyependa kucheza Yanga kwa sasa, sio kuchukua vichezaji ili mradi tuu, tusisahau standard yetu tumei set wapi kimataifa, hawa kina kibabage watatuangusha hawa.
 
Mkuu kibabange kacheza hadi ligi ya morocco,si mchezaji mbaya kwa wachezaji wa ndani
 
Edo kumwembe anasema wakati Yanga wanawaza mambo makubwa, Simba wanaiwaza Yanga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yan wako hivyo,kila wanachofanya now wanafikiria kufanya kama walichofanya Yanga,nasikia baada ya jana Yanga kuzindua jezi wakiwa malawi na mikia nao watazindua jezi zao wakiwa uturuki 😀😀
 
Yan wako hivyo,kila wanachofanya now wanafikiria kufanya kama walichofanya Yanga,nasikia baada ya jana Yanga kuzindua jezi wakiwa malawi na mikia nao watazindua jezi zao wakiwa uturuki [emoji3][emoji3]
Hali ni mbaya sana kwa jirani, wanashindwa kuamini jinsi Yanga ilivyowapiga bao, Simba inaendeshwa kihuni huni kama mdhamini wao Mo anavyoendesha kampuni zake, ile tabia ya kumcopy Bakhressa kaihamishia msimbazi, now wana copy na ku paste kila kinachofanywa na Yanga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom