Aminawananchiiii nawatakia mchana mwema
[emoji1787][emoji1787]Amina
Pia nawaombea MBUMBUMBU wafe njaa leo...mbambafu.
Muhimu wambakishie wachezaji wengi wa msimu ulopita na Kwa wale watakaoondoka basi wamletee wachezaji wazuri wa kuziba hayo mapengo. Kimfumo hawatofatiani na Nabi hapo uongozi umetumia akili sana. Hata Nabi alikuja kwetu akiwa ametimuliwa na El Merreikh baada ya kutoa sare na Makolo.Mi mwenyewe pia nimeshituka eti hajawahi kuifundisha timu ikachukua ubingwa wa Ligi akiwa kocha mwanzo mwisho. [emoji848]
Ila ngoja tumpe nafasi tuone Mkuu.
Zilikuwa ni tetesi tu za Makolo FC, wala hawakuwa na makusudi hayo.Yannick Bangala,Djuma Shabani Na Lomalisa Kama Wanataka Kuondoka Waondoke Tu Hersi Wala Asisite Kuwaachia....Maana Timu ili Ifanikiwe Lazima Ibaki Na Wachezaji Ambao Akili Na Miili Yao Vyote Vipo Tayari Kuipambania.
Malawi ni Tukuyu iliyojitenga"Mgeni wa heshima kwenye sikukuu za uhuru wa Malawi ni Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na serikali ya Malawi ikatupa heshima hii ya kipekee kwa mualiko huu mkubwa na wa kihistoria" @alikamwe
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
Shida inapokuja ni pale ambapo timu ya kucheza haijaundwa maana wachezaji wamepewa mkono wa kwa heri lakini hakuna wapya waliosajiliwa, benchi la ufundi limesambaratika, wacongo wanagomea mikataba etc. Huko Malawi tutaendaje?"Tumepokea mwaliko maalumu kutoka kwa Serikali ya Malawi kucheza mchezo maalumu kwenye maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Malawi itakayofanyika Julai 6, 2023. Ni heshima kubwa sana kwa Klabu yetu na kwa Taifa kwa ujumla" Afisa Habari Young Africans SC @alikamwe
Hahahaaa. Mateso yanaanza upya Mtani. 😂Malawi ni Tukuyu iliyojitenga
Soma post 23467 inatoa jibu kuhusu hilo.Shida inapokuja ni pale ambapo timu ya kucheza haijaundwa maana wachezaji wamepewa mkono wa kwa heri lakini hakuna wapya waliosajiliwa, benchi la ufundi limesambaratika, wacongo wanagomea mikataba etc. Huko Malawi tutaendaje?
Naskia Makolo Waliwahi Kualikwa Zambia Mwaka 1970 [emoji1787]Afisa habari wa Yanga Ndg Ally Kamwe leo alikutana na waandishi wa habari na haya ndio yaliyojiri.
View attachment 2677372
"Tumepokea mwaliko maalumu kutoka kwa Serikali ya Malawi kucheza mchezo maalumu kwenye maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Malawi itakayofanyika Julai 6, 2023. Ni heshima kubwa sana kwa Klabu yetu na kwa Taifa kwa ujumla" Afisa Habari Young Africans SC @alikamwe
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
Nainukuu hapa hiyo post namba 23,467. Hata hivyo bado sijaona jawabu la wapi wachezaji wa safari ya Malawi watatoka:Soma post 23467 inatoa jibu kuhusu hilo.
Hivi unasoma ukiwa una pombe kichwani?Nainukuu hapa hiyo post namba 23,467. Hata hivyo bado sijaona jawabu la wapi wachezaji wa safari ya Malawi watatoka:
"THANK YOU bado hazijafika mwisho bado zinaendelea, wapo Wachezaji na baadhi ya Watendaji kwenye idara mbalimbali ambao ndani ya wiki hii watapewa THANK YOU na kuwafungulia fursa wakapate changamoto kwenye maeneo mengine.
Mpaka sasa hivi tumemaliza Usajili kwa msimu huu, Wachezaji wote ambao tulikuwa tunawahitaji tayari wameshasaini, tumefunga zoezi la Usajili kinachofuatia ni kuwatambulisha Wachezaji hawa na zoezi hilo litaanza baada ya utambulisho wa Jezi mpya" @alikamwe