Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread


Hyo Ni saa 4 tu asubuhi uwanja umetapika hakika sisi yanga tujifunze kwa simba [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Kufanyaje? Kuweka kiingilio sawa na bure? Sisi Yanga ni brand kubwa hatuwezi kufanya hivyo! Kiingilio kikubwa lakini watu bado wanakuja uwanjani!

Kweli Brand kubwa YANGA sisi ndyo maana tunaanzia Round ya pili kumbe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…