Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

IMG_9864.jpg

Mm ni YANGA ila mayele kuondoka hakika tutashika nafasi ya 5
 
Kufanyaje? Kuweka kiingilio sawa na bure? Sisi Yanga ni brand kubwa hatuwezi kufanya hivyo! Kiingilio kikubwa lakini watu bado wanakuja uwanjani!

Kweli Brand kubwa YANGA sisi ndyo maana tunaanzia Round ya pili kumbe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Back
Top Bottom