Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hatuna washambuliaji makini
Tumekosa 2 clear chances yaani,
Halafu hivi kwanini Aziz K kaanzia benchi kwa mechi ngumu kama ya jana?
Mimi lawama zote nampa Kocha.

Sent using Jamii Forums mobile app
mbn game nyingi tu Ki Azz hua anaanzia bench tangu enzi za Nabii? Haikua upande wetu... Yanga mpaka sasa tukubali tuna safu mbovu ya ushambuliaji.. Katikati na nyuma tupo vizuri saana ( Japo wachezaji kama kibabage) sidhani kama ni msaada kwa timu kivile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…