Kuelekea uzinduzi wa AFL 2023 nimewaletea makala ya timu shiriki mpate kujua mafanikio yao katika mashindano ya AFRICA na DUNIA
Al-Ahly
Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 11, ubingwa Caf Winners Cup mara 4, Caf confederation cup mara 1 mwaka 2014 CAF super Cup mara 8 afro Asian Cup mara 1, Arab club champions cup mara 1, Arab Super cup mara 2 Fifa Club World cup nafasi ya 3,
TP Mazembe
Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 5, Winners Cup mara 1 mwaka 1980, Caf confederation cup mara 2 mwaka 2016 na 2017 CAF super Cup mara 3 Fifa Club World cup nafasi ya 2 mwaka 2010,
Wydad Athletic Club
Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 3, Winners Cup mara 1, CAF super Cup mara 1
Esperance de Tunis
Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 4, Winners Cup mara 1, Caf cup mara 1 mwaka 1997 CAF super Cup mara 1 mwaka 1995
Mamelody Sundowns
Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 1 mwaka 2016 na mwaka 2001 waliingia fainali, CAF super Cup mara 1 mwaka 2017
Enyimba
Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 2 mwaka 2003 na 2004, CAF super Cup mara 2
Simba Sports Club
NGUVU MOJA, UNYAMA MWINGI
Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 0,
Winners Cup mara 0,
Caf confederation cup mara 0
CAF super Cup mara 0
na Fifa Club World cup hawajawahi GUSA
ππ€£ππ€£