Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Screenshot_20231108-204120_Instagram.jpg
 
Sema wakuu Aucho ni nguzo ya timu ila jamaa ana shari za kiswahili sana. Anapenda fujo za kijinga amesha tugharimu fainal na USMA ila naona kama hajifunzi. Viongozi waongee nae aache uswahili wa ndondo cup
Replacement ya Aucho ni muhimu sana ni heri yanga waachane na Konkoni au Moloko ila hasa Konkoni dirisha hili dogo watulie kwa umakini kwenye kuchagua na wasikurupuke kwenye kuchagua kama walivyofanya kwa Konkoni then wakaleta central midfielder mwingine wa kumsaidia Aucho... Mudathir, Sureboy, Mkude na Mauya sio viungo wa kuwategemea kuelekea CAF champions League.
 
Replacement ya Aucho ni muhimu sana ni heri yanga waachane na Konkoni au Moloko ila hasa Konkoni dirisha hili dogo watulie kwa umakini kwenye kuchagua na wasikurupuke kwenye kuchagua kama walivyofanya kwa Konkoni then wakaleta central midfielder mwingine wa kumsaidia Aucho... Mudathir, Sureboy, Mkude na Mauya sio viungo wa kuwategemea kuelekea CAF champions League.
Mkuu Moloko kuna game mbili ngumu ilikuwa ni ngumu kupatikana magoli na akaingia kama super sub na kuondoka na point tatu. Mechi dhidi ya Namungo na mechi dhidi ya Coastal union ni Moloko ndiye aliyefanya kazi goli likapatikana. Huyu atusaidia kwasasa ni kama super sub wa Gamond
 
Mkuu Moloko kuna game mbili ngumu ilikuwa ni ngumu kupatikana magoli na akaingia kama super sub na kuondoka na point tatu. Mechi dhidi ya Namungo na mechi dhidi ya Coastal union ni Moloko ndiye aliyefanya kazi goli likapatikana. Huyu atusaidia kwasasa ni kama super sub wa Gamond
Nakubaliana na ww huwaga ana kismati flani akiwepo uwanjani na yanga kushinda mechi, ila replacement ya Aucho ni muhimu maana siku akikosekana pale eneo la katikati ni tatizo mi sijui watafanyaje yanga ila nahisi dirisha dogo wataleta striker mwingine maana kuna tetesi za Ranga chivaviro au Phiri Moses.
 
Wajomba ipi press kali zaidi iliyozungumzwa na viongozi wa Simba Sc na kukuacha mdomo wazi na kicheko zaidi?😁

A- WhatsApp Channel waliiomba Simba Sc na ndio taasisi ya kwanza Afrika Mashariki na kati kujiunga WhatsApp Channel?😂🤦🏽‍♂️

B- Kiongozi wa FIFA kugeuka nyuma na kumwambia Mwenyekiti wa Bodi ya klabu ya Mnyama na kumwambia Simba Sc waliubonda kuliko Mamelodi Sundowns?😂😂😂‼️

C- Msemaji kusema anakuja Kocha wa boli mwenye CV ya Balaaa , kocha wa kufundisha timu yoyote Bundesliga, kocha weka mbali na watoto?😂😂😂😂😂🙌🏾

Dah! 😁
Uzuri haya wametamka wenyewe
 
Wajomba ipi press kali zaidi iliyozungumzwa na viongozi wa Simba Sc na kukuacha mdomo wazi na kicheko zaidi?[emoji16]

A- WhatsApp Channel waliiomba Simba Sc na ndio taasisi ya kwanza Afrika Mashariki na kati kujiunga WhatsApp Channel?[emoji23][emoji2363]

B- Kiongozi wa FIFA kugeuka nyuma na kumwambia Mwenyekiti wa Bodi ya klabu ya Mnyama na kumwambia Simba Sc waliubonda kuliko Mamelodi Sundowns?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji845]

C- Msemaji kusema anakuja Kocha wa boli mwenye CV ya Balaaa , kocha wa kufundisha timu yoyote Bundesliga, kocha weka mbali na watoto?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1487]

Dah! [emoji16]
Uzuri haya wametamka wenyewe
B



Ile Distance naskia ilikuwa hivi mazungumzo

Pres FIFA; Oyaaa Try Again unaona huu Mpira

Try Again; Yes President nipo makini


Press FIFA; Mbona Hawa waliovaa njano wanapiga mpira mkubwa kama wale waliowapiga 5


Try Again; Hata sisi tunawazidi hao Waarabu hapa


Pres FIFA; Kweli naona hata mimi
 
THIS IS FOOTBALL HERITAGE

[emoji1593]Yanga SC wamecheza mechi ya ubora wa hali ya juu ,walichofanya Yanga ni kutafsiri nini maana ya Football ? Ambayo ni :- TIME AND SPACE

[emoji1593]Timu zote mbili kuna mahala ambapo walikuwa wanajinyonga hasa kulingana na tafsiri ya football niliyokuambia ( Time and Space na hapa shikilia hili la Space )

1: Yanga na Simba wote walikuwa wanafinyia ndani sana ( narrow shape ) wakiwa na mpira na bila mpira maana yake ?

2: Space inakuwa pembeni ya uwanja na muda unapata wa kutosha maana yake timu yoyote ambayo ingetumia space hiyo ya wazi kwa ufanisi basi watasherekea sana na hata ukiangalia actions nyingi hatari zilitokea pembeni pasi zikipigwa huko .

[emoji1593]Kitu ambacho Yanga waliwaangamizia Simba ni space na time : viungo wa Yanga , mabeki wa Yanga , na viungo washambuliaji wa Yanga walikuwa wanapata space kubwa na muda wa kutosha wakiwa na mpira kwanini ?

1: Inatokana na Yanga wenyewe ( Positions za fullbacks wao na viungo wao washambuliaji zilikuwa ngumu sana kwa Simba kuwakabili )

2: Fullbacks wanapanda kuwaruhusu attacking trios ( Aziz Pacome na Maxi ) kuungana between the lines : hatari [emoji91]

3: Sababu nyingine ni Simba wenyewe , wanachelewa kwenye mpira haraka , watu wa mbele wanatembea , wanaacha kazi ya ulinzi kwa Ngoma na Kanoute maana yake hata Malone na Inonga kazi inakuwa kubwa kwao

[emoji1593]Kiufupi tu leo Yanga wameonesha utawala wa kimbinu na kiufundi : MASTERCLASS .!

NOTE

1: Kibu D anatoka uwanjani akiwa na utetezi lakini wenzake je ? Hasa viungo wenzake wa juu ( Chama ? Saido ? )

2: Through balls za Aziz Ki [emoji91][emoji91] zimewavuruga sana Simba

3: Maxi ni elusive , ngumu kumkabili anaibuka kila mahala

4: Impact ya Mzize [emoji91] runs zake

5: Pacome , technically [emoji91] so good

6: Aishi anatamani hata asingerudi leo

7: TANO NYINGI NYIE [emoji848]

FT: Simba SC 1-5 Yanga SC
Una copy alafu unaondoa jina la mchambuzi uonekane ni ww ndo umechambua!!
 
Back
Top Bottom