Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Leo ndo ile siku Timu ya Wananchi tunaenda kuzichanga karata zetu kuelekea mbio za kuingia quarter final.

Tunajua ni Mechi ngumu ila natumai tutapata matokeo.

Kila la kheri Timu ya Wananchi.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
 
Team leo inacheza chini ya kiwango. Tunapoteza sana mipira tena kizembe kwenye maeneo hatari. Tunastahili kuwa nyuma kutokana na huu uzembe uliokithiri. Lomalisa na Zouzoua wako nje ya mchezo leo na wanaslow tempo ya game wakati wote tunapotakiwa kwenda kwa pace. Sub ya Mzize na Mwamnyeto inahitajika.
 
hii ndio club bingwa sasa mkuu haina uchawi haina kupitia mlango wa nyuma huu ndo uwezo wenu sasa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hadi msemeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…