Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Njoo tupeane update watu kwanini Wana ingia na magari mengi usiku?

Na kwanini watu Wana zuia wenzao kufanya mazoezi ya mwisho?

Kwanini TFF inazitetea sana izi team?
 
Mbona Makolo wanalia sana kuzuiliwa kuingia uwanjani usiku kwani walikuwa tafsiri gani? Walishindwa nini kwenda kufanya mazoezi mchana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…