Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Timu ya Wananchi Kazini kwetu kuna kazi leo. Tunachohitaji ni points 3 pekee.
Screenshot_20250112_184644_Instagram.jpg

#DaimaMbeleNyumaMwiko
 
Tupo kwenye ardhi yakwetu, Mungu ni wakwetu, atatusikia tu.
#Celebrate to Qualify Caf quarter final
 
Naangalia Yanga vs club Africans, hii combination ya Aucho na Sure Boy ilikuwa🔥🔥🔥 sijui kwanini makocha hawa wapya hawampangi babu kaju namba 8! Sure boy ndiyo mchezaji pekee pale yanga atakayekuhakikishia accurate 👌 ya long passes! Hawa plumbers hawalion hili🚮
 
Back
Top Bottom