Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Caf cl GROUP STAGE YOUNG AFRICANS SC VS AL HILAL BWM STADIUM 16:00 26/11/2024
 
Yanga lindeni michezo yenu ..
Acheni kulidharau neno ubaya ubwela..
Amkeni nyie..
 
20241129_085037.jpg
 
Viongozi wakubali tu walifanya kosa kubwa sana kumuondoa Gamond ambaye aliwajua wachezaji na akaweka style ya uchezaji inayoendana nao,

Huyo mpya kaharibu kila kitu sasa tunaanza upya, siioni robo fainali hapa🚮
 
Kwenye hizi mechi natamani tupigwe mechi nne ili viongozi washike adabu. Tayari moja tumeshapigwa na leo tupigwe na Mazembe, halafu Mashujaa, Tanzania Prisons. Hapo Hersi akili itamkaa! Amefanya upumbavu sana!
Kweli kabisa Mkuu.

Mechi na Mazembe tumeponea chupuchupu tusubiri kesho napo.
 
Viongozi wakubali tu walifanya kosa kubwa sana kumuondoa Gamond ambaye aliwajua wachezaji na akaweka style ya uchezaji inayoendana nao,

Huyo mpya kaharibu kila kitu sasa tunaanza upya, siioni robo fainali hapa[emoji706]
Futa hii
 
Back
Top Bottom