Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hebu linganisha hapo uone. Magoli kama hayo yamefungwa sana kwenye compilation kali si kama Ajibu alivyofanya bila bughudha anaseti miguu awezavyo. View attachment 928256
huyo wa kwanza ana balance ni rahisi kwake kupiga ticktaka lakini huyo wapili lazima uwe frexsible ndio uweze kugeuka.
Huyo wa kwanza anaangalia mpira unavyokuja na anaupiga kwa muekeo uleule lakini huyo wapi anaangalia mpira unatokea golini anaupisha na kugeuka na kuurudisha ulipotokea
 
Huyu ajibu hatari sana, ile timu iliyomuacha itakuwa inajuta sana, nimeanza kusikia tetesi kuwa wamnamuhitaji tena.
Yeye ndo anatamani kurudi.Anaona washikaji zake akina Ndemla,Tshabalala na Mkude wanavyo shine.
 
Kila la kheri chama langu kwenye mechi ya leo Mdogo mdogo tutafika tu. Mpira matokeo hizo nyingine Mbwembwe tu.

"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Uko vizuri kwenye maeneo mengi best...ulipoteleza ni hapa kwa Ndala mbovu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…