huyo wa kwanza ana balance ni rahisi kwake kupiga ticktaka lakini huyo wapili lazima uwe frexsible ndio uweze kugeuka.Hebu linganisha hapo uone. Magoli kama hayo yamefungwa sana kwenye compilation kali si kama Ajibu alivyofanya bila bughudha anaseti miguu awezavyo. View attachment 928256
Huyo wa kwanza anaangalia mpira unavyokuja na anaupiga kwa muekeo uleule lakini huyo wapi anaangalia mpira unatokea golini anaupisha na kugeuka na kuurudisha ulipotokea