GREAT NAME
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 1,078
- 1,718
Yanga wamechoka kiwango 0%Msipopata penati nyingine mechi itaisha hivi hivi.
Wacha utani toka lini Omba omba / Mtembeza bakuli akawa na pesa?Kama kawaida yenu mnaenda kuweka mambo sawa M-PESA ili wawalegezee kipindi cha pili, kweli simba hana mpinzani
😳😳😳😳Yanga wamechoka kiwango 0%
chini ya udhamini wa M-PESAMoto tutaoingia nao kipindi cha pili utakua mkubwa mno, nawaomba tu km inawezekana wasiingie uwanjani
Si ndio hizo za bakuliWacha utani toka lini Omba omba / Mtembeza bakuli akawa na pesa?
Haya bana. Niseme tu zingekuwa zinatosha tungefanyia vya maana na si kuhonga refaSi ndio hizo za bakuli
Twende sawaKipindi cha pili kilishaanza huko.
Dkk ya 53 now
Poa poa. Twende sawa usikimbie.Twende sawa
Nipo nipo full timePoa poa. Twende sawa usikimbie.
Naona unatafuta pa kujibanza Mtani. 😅😅chini ya udhamini wa M-PESA
EwaaaaaNipo nipo full time
Dkk ya ngapi hukoEwaaaaa
Dkk ya ngapi huko
Dkk ya 64Dkk ya ngapi huko
ImekaribiaItakuwa 65 labda.