Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Moto tutaoingia nao kipindi cha pili utakua mkubwa mno, nawaomba tu km inawezekana wasiingie uwanjani
 
Namuona jamaa angu Kindoki anaruka kama nyani! Mpaka anaumia. Hataki kurudia kabisa yale madudu aliyoyafanya kwenye zile mechi za awamu ya kwanza. Hatari sana.
 
Back
Top Bottom