100 Likes
JF-Expert Member
- Nov 5, 2018
- 2,416
- 5,165
Hahahaa. Tuwache na Zahera wetu Mtani.
Zahera ananitilia huruma anavyolia akifungwa, halafu anaanza kuwatukana wachezaji wake kwa lugha ya Kikongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa. Tuwache na Zahera wetu Mtani.
😀😀😀 lini aliwatukana Mtani?Zahera ananitilia huruma anavyolia akifungwa, halafu anaanza kuwatukana wachezaji wake kwa lugha ya Kikongo.
Yaani. Kametukamia hasaaa.Haka katimu kameikamia timu ya wananchi utadhani kanapigania nafasi ya kushiriki kombe la dunia! Yaani kamekomaa kabisa kupata hata sare tu ili timu ya wananchi isiondoke na pointi 3 muhimu kuelekea safari ya ubingwa.
MOBILE BANKING katika ubora wake
Ewaaaaaaàaa. Sisi 1 wao 0
😀😀😀 lini aliwatukana Mtani?
Haijalishi. 💃💃💃💃
Kuna maisha nje ya JAMIIFORUM, so jioni njemaKrizy Beat mbona umekimbia sa Mtani?
Umewaona eeee.Comrade mbona kuna watu siwaelewi humu, inaonekana kamawanateseka sana ..hebu tuambie sisihuku kuna nini huko??
Hahahaaa. Pole sana Mtani.Kuna maisha nje ya JAMIIFORUM, so jioni njema