Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna namna ASANTE,Hahahaaa. Pole sana Mtani.
Najiandaa usiku kuona Barca tukimshikisha adabu Madrid.
Haijalishi Mtani kikubwa Point 3Sawa lakini kwa mbinde sana
Hahahaaa. Kumbe na wewe Barca.Hakuna namna ASANTE,
kumbe usiku tutakua geto moja afadhali.
Karibu Santiago bernabeuHahahaaa. Pole sana Mtani.
Najiandaa usiku kuona Barca tukimshikisha adabu Madrid.
Ahsante Mtani. Keshi zamu yenu Shinyanga.Karibu Santiago bernabeu
Utashangaa tunalala sisi maisha yanaenda kasi sana,Hahahaaa. Kumbe na wewe Barca.
Tunawalaza na viatu leo.
Umewaona eeee.
Kama kawaida Timu ya wananchi ishamaliza kipindi huko.
0 - 1
Tusubiri tuone Mtani.Utashangaa tunalala sisi maisha yanaenda kasi sana,
Haya poa hakunaga noma tukutane kesho,Tusubiri tuone Mtani.
Haha!! mfupa mlioshindwa tafuna mtani, kesho sisi kiulani, ni zamu ya wapiga debe kutubuAhsante Mtani. Keshi zamu yenu Shinyanga.
Tunawaacha wateseke tu sasa Mkuu huku wakiwa na vitumbo joto kuiwaza Stand kesho sisi tumeshamaliza kazi.teheteheh aisee
Amiin Insha Allah.Haya poa hakunaga noma tukutane kesho,
MUNGU AKIPENDA
Naisubiri kwa hamu hiyo kesho nione. Usije acha onekana tu mtani.Haha!! mfupa mlioshindwa tafuna mtani, kesho sisi kiulani, ni zamu ya wapiga debe kutubu
Inshallah;Naisubiri kwa hamu hiyo kesho nione. Usije acha onekana tu mtani.
Ahsante Shem. Mdogo mdogo shemela tutafika tu.Nipo shemela. Hongera nawe pia.