Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
hahahahhahaha.Leo mmepata pa kusemea.Naona Pweza Paul alikuwa upande wenu safari hii......you are right....................
huyo aliyesema hivyo hana data, na hajui kuwa yanga bado ni mbabe wa simba kwa historia.
hahahahhahaha.leo mmepata pa kusemea.naona pweza paul alikuwa upande wenu safari hii......
mwaaaaa mwaaaa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee:a s 8:
1. Patrick Nyaga
2. Athuman Kilambo
3. Boi Idi Wikiens
4. Hassan Gobosi
5. Omari Kapera
6. Abdurahaman Juma
7. Leonard Chitete
8. [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Sunday Manara[/FONT]
9. Kitwana Manara
10. [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Gibson Sembuli,[/FONT]
11. Maulidi Dilunga
Mkuu hiyo namba kumi (10) nasikia iliwahi kuchana nyavu kwa shuti la mguu wa kushoto ni kweli hiyo stori?:becky:
1. Patrick Nyaga
2. Athuman Kilambo
3. Boi Idi Wikiens
4. Hassan Gobosi
5. Omari Kapera
6. Abdurahaman Juma
7. Leonard Chitete
8. [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Sunday Manara[/FONT]
9. Kitwana Manara
10. [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Gibson Sembuli,[/FONT]
11. Maulidi Dilunga
Mkuu nami pia nilisikia, vipi ulicheki mechi ya Arsenal na madogo wili ilopita? Basi Theo Wakot naye alizichana ingawa mpira haukutoka nje ulibaki ndani ya nyavu!
Naomba mchango wenu hapa maana listi meisahau:
1. Patrick Nyaga
2. Juma Shaban
3. Zitto Kiaratu
4. Jela Mtagwa
5. [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Leodegar Tenga[/FONT]
6. Sunday Manara
7. MUHAJi MUKI
8. [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Kitwana Manara[/FONT]
9. Juma Matokeo ?
10. [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Gibson Sembuli,[/FONT]
11.Ahmadi Omari

Mkuu naona nawewe umewa-listi Kapera na Jela Mtagwa kama mimi.
Sio kama nawapinga wengine, lakini naona nina uhakika na namba ya Kapere kuwa tatu, na Jela mtagwa kuwa nne. Hasa Jela Mtagwa, maana yeye alikuwa mpya mpya (yaani late 70s/ early 80s). Ama vipi?