Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

you are right....................

huyo aliyesema hivyo hana data, na hajui kuwa yanga bado ni mbabe wa simba kwa historia.
hahahahhahaha.Leo mmepata pa kusemea.Naona Pweza Paul alikuwa upande wenu safari hii......
 
Mnyama kafanyika futari jana.Mji kimyaaaaaaaaaaaa. watoto wa jangwani wamewapa simba zawadi ya song hebu chezeni basi.... aladji aladji
:violin:aladjiii, aladjiii,aladji aladji aladji, aladdji. popote atakapoonekana mnyama kazi ni moja tu 1 x3 :A S-danger: mpaka ajifungue mwisho wa ligi.
 
Yule pweza kawazuga wanyama wakajisahau na kuangukia pua kama Chale-mama!
 
Asikwambie mtu ukishabikia Yanga unakuwa kama Mkristo aliyempoke Yesu au Muislam aliyefunga 30 bila kishawishi wa kuyumba.
Yanga rrrrrraha mwanakwetu
 
Kuna habari kuwa mawakala wa vilabu mbalimbali barani Ulaya wanataraji kushuka ktk makao makuu ya klabu ya Dar Young Africans tayari kwa kutazama na kufanya mazungumzo na nyota wa klabu hii ili wakakipute majuu.
 
Naomba mchango wenu hapa maana listi meisahau:

1. Patrick Nyaga
2.
3. Zitto Kiaratu
4. Jela Mtagwa
5. [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Leodegar Tenga[/FONT]
6. Sunday Manara
7.
8. [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Kitwana Manara[/FONT]
9. Juma Matokeo ?
10. [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Gibson Sembuli,[/FONT]
11. ??
 
Llisti ilikuwa hivi:
1. Patrick Nyaga
2. Juma Shaabani
3. Zitto Kiaratu
4. Leodgar Tenga
5. Omari Kapera
6. Jela Mtagwa
7. Muhaji Muki
8. [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Sunday Manara[/FONT]
9. Kitwana Manara
10. [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Gibson Sembuli,[/FONT]
11. ??
 
1. Patrick Nyaga
2. Athuman Kilambo
3. Boi Idi Wikiens
4. Hassan Gobosi
5. Omari Kapera
6. Abdurahaman Juma
7. Leonard Chitete
8. [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Sunday Manara[/FONT]
9. Kitwana Manara
10. [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Gibson Sembuli,[/FONT]
11. Maulidi Dilunga
 
Duuh! Nashangaa mnakumbukaje. Nilikuwa na-reciting hiyo listi kama kuruani, lakini sasa sikumbuki kitu.

Au kwasababu nilikuwa around 8 - 10 years?
 
1. Patrick Nyaga
2. Athuman Kilambo
3. Boi Idi Wikiens
4. Hassan Gobosi
5. Omari Kapera
6. Abdurahaman Juma
7. Leonard Chitete
8. [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Sunday Manara[/FONT]
9. Kitwana Manara
10. [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Gibson Sembuli,[/FONT]
11. Maulidi Dilunga

Mkuu hiyo namba kumi (10) nasikia iliwahi kuchana nyavu kwa shuti la mguu wa kushoto ni kweli hiyo stori?:becky:
 
Mkuu hiyo namba kumi (10) nasikia iliwahi kuchana nyavu kwa shuti la mguu wa kushoto ni kweli hiyo stori?:becky:

Mkuu nami pia nilisikia, vipi ulicheki mechi ya Arsenal na madogo wili ilopita? Basi Theo Wakot naye alizichana ingawa mpira haukutoka nje ulibaki ndani ya nyavu!
 
1. Patrick Nyaga
2. Athuman Kilambo
3. Boi Idi Wikiens
4. Hassan Gobosi
5. Omari Kapera
6. Abdurahaman Juma
7. Leonard Chitete
8. [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Sunday Manara[/FONT]
9. Kitwana Manara
10. [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Gibson Sembuli,[/FONT]
11. Maulidi Dilunga

Nimeamina hapa jamvini watu wazima tuko wengi manake hii list kuikumbuka kaaaaaaaaaaaaaaaazi kwelikweli!
 
Konaball:
Hii listi yako inatakiwa iwe hivi
1. Elias Michael au Muhidin
2. Athuman Kilambo
3. Boi Idi Wikiens
4. Hassan Gobosi
5. Omari Kapera
6. Abdurahaman Juma
7. Leonard Chitete
8. [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Sunday Manara[/FONT]
9. Kitwana Manara
10. [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Gibson Sembuli,[/FONT]
11. Maulidi Dilunga
 
Mkuu nami pia nilisikia, vipi ulicheki mechi ya Arsenal na madogo wili ilopita? Basi Theo Wakot naye alizichana ingawa mpira haukutoka nje ulibaki ndani ya nyavu!

Mkuu sikuicheki hiyo game, yani kama Walcot alichana nyavu kwa Jabulani basi mwaka huu tutaona mengi!!!!:confused2:
 
Naomba mchango wenu hapa maana listi meisahau:

1. Patrick Nyaga
2. Juma Shaban
3. Zitto Kiaratu
4. Jela Mtagwa
5. [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Leodegar Tenga[/FONT]
6. Sunday Manara
7. MUHAJi MUKI
8. [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Kitwana Manara[/FONT]
9. Juma Matokeo ?
10. [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Gibson Sembuli,[/FONT]
11.Ahmadi Omari
 
Wakati wa Elias Michael Sunday alikuwa hajakomaa vizuri
1. Elias Michael au Muhidin
2. Athuman Kilambo
3. Boi Idi Wikiens
4. Hassan Gobosi
5. Omari Kapera
6. Abdurahaman Juma (hapa alikuwa Gilbert Mahinya)
7. Leonard Chitete (Hapa pia palikuwa na Awadh Gesani)
8. [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Sunday Manara (hapa alikuwa Abdurahaman Juma)[/FONT]
9. Kitwana Manara
10. [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Gibson Sembuli,(Hapa alikuwa Maulid Dilunga[/FONT]
11. Maulidi Dilunga (hapa alikuwa Juma Bomba)
 
Naomba mchango wenu hapa maana listi meisahau:

1. Patrick Nyaga
2. Juma Shaban
3. Zitto Kiaratu
4. Jela Mtagwa
5. [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Leodegar Tenga[/FONT]
6. Sunday Manara
7. MUHAJi MUKI
8. [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Kitwana Manara[/FONT]
9. Juma Matokeo ?
10. [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Gibson Sembuli,[/FONT]
11.Ahmadi Omari

Mkuu naona nawewe umewa-listi Kapera na Jela Mtagwa kama mimi.
Sio kama nawapinga wengine, lakini naona nina uhakika na namba ya Kapere kuwa tatu, na Jela mtagwa kuwa nne. Hasa Jela Mtagwa, maana yeye alikuwa mpya mpya (yaani late 70s/ early 80s). Ama vipi?
 
Back
Top Bottom