Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Shadeeya nimeipenda hii
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
ujumbe maridhawa kabisa toka kwa mwanayanga mwenzetu
hii sio katika michezo tu ila yatakiwa tuzingatie hili katika maisha yetu kiujumla
Hakika Mkuu. Hatupaswi kukata tamaa hata katika maisha ya kawaida. Kukata tamaa ndio mwanzo wa kufeli kabisa.
 
Nilikuwa nimeshakata tamaa, nikawa naangalia mambo mengine mara nikaanza kuona messages WhatsApp zimezidi nikajua natumiwa madongo.
Nikasema ngoja nizicheki, nikaona ni za washikaji wangu wa Yanga, kufungua naona videos za kindoki akibebwa.
Asanteni vijana wetu wa Jangwani ingawa mnatupa pressure ila tunaburudika.
Kamwene! You are next!!
 
sasa hivi tukifika kwenye matuta huwa sina wasiwasi na huyu dogo
ndo hivyo tena beno hana chake aende tu na huyo ajibu
Mie mwenyewe sikumdhania ujue. Karibia penalties zote kazifuata aiseee.

Yabidi azidi kujiimarisha zaidi na kujiamini kwani sio mbaya.
 

Na game ijayo hao Kamwene wasubirie maumivu tu.
 
Mie mwenyewe sikumdhania ujue. Karibia penalties zote kazifuata aiseee.

Yabidi azidi kujiimarisha zaidi na kujiamini kwani sio mbaya.
anatupa matumaini kocha azidi kumuamini na kumpanga zaidi atatufikisha mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…