Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hawa alliance hawana uwezo wa kutufunga kabisa labda waingie 19 uwanjani, mpira tunaocheza apa uwanjani naikumbuka Barcelona ya Pep Guardiola
naona pale kati feisal toto mpira anaopiga ni mithili ya andres iniesta
kuna watu inawauma lakin mkuu
 
DKK 90 ZIMEMALIZIKA. ZINAFUATA PENALTIES.

KILA LA KHERI TIMU YA WANANCHI
 
Kindoookiiiiiiiiiiiii. πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Back
Top Bottom