Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mihangaiko Mtani. Nimerudi lakini.
Mbili tu!, zinawatosha kuwatoa mashindanoni!!..Mihangaiko Mtani. Nimerudi lakini.
Karibu uone timu ya Wananchi inavyotinga nusu fainali FA.
Yah. Tunambugiza Alliance hizo Mtani.
Haya acha tusubir.... Kamwenee nyingine kutoka kwa Alliance..Yah. Tunambugiza Alliance hizo Mtani.
Hamna kitu ka hicho Mtani.
Tupe update hadi mwisho wa mechi,MPIRA UMESHAANZA HUKU.
KILA LA KHERI TIMU YA WANANCHI.
Hahahaaaa. Usijali Mtani.
Hayaa, lakini Mtani acha uchokozi...Hahahaaaa. Nitazileta muda wa magoli Mtani , ikifika Half Time na hata mpira ukiisha.
Tushamchapa alliance moja bilaJamani matokeo vipi huko,