Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20190330_152421.jpg
 
Aiseee sijaamini kama ni bao mpaka nilipoona ile replay.

Hatari sana. Ila hapa sifa kwa mwamuzi maana alikuwa makini kuona wapi mpira umetokea. Sababu lile ni bonge ya tobo.
 
Back
Top Bottom