Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Nifah huo upendo wa mshumaa ila ukae ukijua mikia wakija wageni hawana uzalendo wale

Hapana, sina na wala sitokaa niwe na upendo juu ya Simba.
Kama mpenzi wa mpira ni ngumu kukataa ubora wa Bocco, japo yuko Simba lakini namkubali.
Suala la penalt nilimuonea huruma kibinadamu tu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nasikia uko Uvinza unavizia mpaka kuvuka kwenda DRC.
 
Hapana, sina na wala sitokaa niwe na upendo juu ya Simba.
Kama mpenzi wa mpira ni ngumu kukataa ubora wa Bocco, japo yuko Simba lakini namkubali.
Suala la penalt nilimuonea huruma kibinadamu tu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Bocco hana lolote kiazi tu
Upepo tu umewaelekea mwaka huu na wenzake.
Simba mchezaji clatous chama hao wengine wote masotojo.
 
Hapana, sina na wala sitokaa niwe na upendo juu ya Simba.
Kama mpenzi wa mpira ni ngumu kukataa ubora wa Bocco, japo yuko Simba lakini namkubali.
Suala la penalt nilimuonea huruma kibinadamu tu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
mimi hata mikia wakicheza na Wadudu nitashabikia wadudu
 
yanga ni timu ndogo sana barani afrika.hizo sifa zote tajwa hapo juu ni hapa tanzania tu ,ukilinganisha klabu hizi kubwa mbili.simba ndiyo inajulikana zaidi ya yanga
 
Ni kweli na ilizidi kujulikana zaidi hasa baada ya kwenda kujitangaza kule Congo na misri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…