Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Nifah huo upendo wa mshumaa ila ukae ukijua mikia wakija wageni hawana uzalendo wale

Hapana, sina na wala sitokaa niwe na upendo juu ya Simba.
Kama mpenzi wa mpira ni ngumu kukataa ubora wa Bocco, japo yuko Simba lakini namkubali.
Suala la penalt nilimuonea huruma kibinadamu tu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Frank Wanjiru Maxmizer Mgagaa na Upwa Tiba Ulimakafu Shadeeya Southern Highland Guasa Amboni Gang Chomba Mr Never Mind Prince Kunta Tate Mkuu 1954 Kobello Rotomoto Kivule Nifah hazard cfc Joseverest SOSDANNY

Na wanachi wengine wote sio mbaya kuwatag kama nimewasahau

Napenda tu kuuliza hivi ule mpira uliopaa angani juu kabisa mawinguni siku ya juzi ina maana huko mitaa ya kwenu nako bado tu haujaonekana???๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚
Nasikia uko Uvinza unavizia mpaka kuvuka kwenda DRC.
 
Hapana, sina na wala sitokaa niwe na upendo juu ya Simba.
Kama mpenzi wa mpira ni ngumu kukataa ubora wa Bocco, japo yuko Simba lakini namkubali.
Suala la penalt nilimuonea huruma kibinadamu tu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Bocco hana lolote kiazi tu
Upepo tu umewaelekea mwaka huu na wenzake.
Simba mchezaji clatous chama hao wengine wote masotojo.
 
Nasikia uko Uvinza unavizia mpaka kuvuka kwenda DRC.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Mkuu kama unaenda Lubumbashi itakuwa vizuri mana naskia caf mechi ya marudiano wanamuwekea mapya
1554746597822.jpg
 
Hapana, sina na wala sitokaa niwe na upendo juu ya Simba.
Kama mpenzi wa mpira ni ngumu kukataa ubora wa Bocco, japo yuko Simba lakini namkubali.
Suala la penalt nilimuonea huruma kibinadamu tu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
mimi hata mikia wakicheza na Wadudu nitashabikia wadudu
 
yanga ni timu ndogo sana barani afrika.hizo sifa zote tajwa hapo juu ni hapa tanzania tu ,ukilinganisha klabu hizi kubwa mbili.simba ndiyo inajulikana zaidi ya yanga
 
yanga ni timu ndogo sana barani afrika.hizo sifa zote tajwa hapo juu ni hapa tanzania tu ,ukilinganisha klabu hizi kubwa mbili.simba ndiyo inajulikana zaidi ya yanga
Ni kweli na ilizidi kujulikana zaidi hasa baada ya kwenda kujitangaza kule Congo na misri.
 
Back
Top Bottom