Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hilo jibu huwa simple ila linakera Sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Wajua tena watani zetu hawa yatupasa twende nao taratibu maana huzuni kwao yaja siku ya Jumamosi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Sasa tukianza kuwavuruga mapema haipendezi.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Wajua tena watani zetu hawa yatupasa twende nao taratibu maana huzuni kwao yaja Jumamosi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Sasa tukianza kuwavuruga mapema haipendezi.
Huwavurugi ila unawatesa Psychologically. πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
20190411_183934.jpg
 
Back
Top Bottom