Tachu hano
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,506
- 2,518
Hilo jibu huwa simple ila linakera Sana ππππππππSawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo jibu huwa simple ila linakera Sana ππππππππSawa
π π π π Wajua tena watani zetu hawa yatupasa twende nao taratibu maana huzuni kwao yaja siku ya Jumamosi π π π πHilo jibu huwa simple ila linakera Sana ππππππππ
Huwavurugi ila unawatesa Psychologically. ππ.π π π π Wajua tena watani zetu hawa yatupasa twende nao taratibu maana huzuni kwao yaja Jumamosi π π π π
Sasa tukianza kuwavuruga mapema haipendezi.
ππππHuwavurugi ila unawatesa Psychologically. ππ.
Baada ya mechi kuishaSawa
Lazima washinde. Morogoro ni kwetu, Morogoro ni kwa wanayanga.
Insha Allah. Itakuwa poa sana Mkuu.Lazima washinde. Morogoro ni kwetu, Morogoro ni kwa wanayanga.
ni kweli mtibwa ni timu kubwaInsha Allah. Itakuwa poa sana Mkuu.
Japo wanakazaga wale jamaa nao.
Endelea kujifarijiWadau, tupeni updates bas. Maana Watani wenyewe washakunjwa cha kwanza huko Tanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau, tupeni updates bas. Maana Watani wenyewe washakunjwa cha kwanza huko Tanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Wameukimbia Uzi wao wanamtukana Zahera kimoyo moyoChura kafa kimoja.