Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hilo jibu huwa simple ila linakera Sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Wajua tena watani zetu hawa yatupasa twende nao taratibu maana huzuni kwao yaja siku ya Jumamosi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Sasa tukianza kuwavuruga mapema haipendezi.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Wajua tena watani zetu hawa yatupasa twende nao taratibu maana huzuni kwao yaja Jumamosi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Sasa tukianza kuwavuruga mapema haipendezi.
Huwavurugi ila unawatesa Psychologically. πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Nawaza tu yule Kasimu Khamis leo atazushiwa yapi maana kajifunga kama Ally Ally.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…