Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread


Juma Mahadhi ametaja sababu za kuto onekana Morogoro
.
.
Winga Juma Mahadhi ni miongoni mwa wachezaji watakaoendelea kukipiga Jangwani baada ya uongozi wa Yanga kumuongeza mkataba

Hata hivyo 'kiberenge' huyo bado hajaonekana uwanjani wakati wenzie wanaendelea kujifua mkoani Morogoro

Msimu mzima uliopita Mahadhi hakupiga kabisa 'gozi la ng'ombe' baada ya kuvunjika mguu kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya USM Alger

Mahadhi amefichua kuwa sio muda mrefu ataonekana dimbani baada ya kupona majeraha hayo "Kwa sasa nimepona kwa kiasi kikubwa, wanayanga wawe na subira kidogo siku sio nyingi wataniona uwanjani" amesema

Licha ya kutoonekana uwanjani kwa muda mrefu, kocha Mwinyi Zahera ameonyesha kuwa na imani nae na kupendekeza aongezwe mkataba

Mahadhi alitua Yanga misimu mitatu iliyopita akitokea klabu ya Coastal Union .
 
Kwa hapa sitii neno Shadeeya zaidi ya kuwapongeza kwa hatua hiyo. Pongezi nyingi ni kwa Mwakalebela maana huyu jamaa namkubali sana kama kiongozi mahiri mwenye mipango na mikakati ya kimaendeleo tangia akiwa TFF ya ndugu Tenga

Pongezi zangu kwa Yanga ni kwasababu nataka msimu huu mkose visingizio kwamba oooh mara wachezaji wamegoma hawajalipwa mishahara mara sijui hamna mfadhili kama Simba

Tutapokua tunawanyanyasa uwanjani basi muwe mko kamili na hicho kikosi chenu na jezi zenu mpya a wafandhili wenu ili mjue Mfalme wa pori ni mmoja tu na si mwingine zaidi ya LUNYASI
 
Anakuya kulokota mwenyewe kunyavu

Msije mkamtimua tu katikati ya msimu
 
Mwisho wa siku tukutane Uwanjani Ses.
 
Hata AS VITA alivyowagonga vitano kule congo hakuweka dawa.
 
Mi nilijua tu million 300 itoke ivi ivi bure tu;
 
KIKOSI KILICHOCHEZA DHIDI YA TOWNSHP ROLLERS MARCH 2018 CHINI YA LWANDAMINA.

Kabwili, Kessy, Dante, Yondani, Ngonyani, Makapu, Tshitshimbi,Buswita, Chirwa, Ajib, Marthin

WAMEKUJA WAKATI MBAYA SAAAAAAANA, KISASI LAZIMA KILIPWE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…