BadoNatumai ulishayapata Mtani.
Sikuwa na muda nilikua nacheki zangu Man cityMtani kumbe mnatukubali eeee. Yaani muliacha kazi zenu mkaanza kuwafuatilia wananchi. πππ
CC. Mtoto halali na hela.
Apia. πSikuwa na muda nilikua nacheki zangu Man city
Ndio uaminiApia. π
Haya bana Mtani. Karibu jumamosi kwa Mkapa tutakuwa tunacheza na Township rollersNdio uamini
Sikuwa na muda nilikua nacheki zangu Man city
Hapo watajipigia zaoHaya bana Mtani. Karibu jumamosi kwa Mkapa tutakuwa tunacheza na Township rollers
Ime editiwaMtani Msemaji wenu tu alishindwa kutulia nyumbani. πππ ije kuwa nyie. π
Subiri uone.Hapo watajipigia zao
Hahahaaa. Imeeditiwa wapi wakati anaipenda Yanga kimoyo moyo.Ime editiwa
Nasikia pale uwanjani jana majukwaa yamekua kama mashamba ya alizetiHahahaaa. Imeeditiwa wapi wakati anaipenda Yanga kimoyo moyo.
Umeniacha mtani, sijaelewa ata.Nasikia pale uwanjani jana majukwaa yamekua kama mashamba ya alizeti
Kwamba rangi za jezi zenu zinafanana na alizetiUmeniacha mtani, sijaelewa ata.