Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BadoNatumai ulishayapata Mtani.
Sikuwa na muda nilikua nacheki zangu Man cityMtani kumbe mnatukubali eeee. Yaani muliacha kazi zenu mkaanza kuwafuatilia wananchi. 😀😀😀
CC. Mtoto halali na hela.
Apia. 😜Sikuwa na muda nilikua nacheki zangu Man city
Ndio uaminiApia. 😜
Haya bana Mtani. Karibu jumamosi kwa Mkapa tutakuwa tunacheza na Township rollersNdio uamini
Sikuwa na muda nilikua nacheki zangu Man city
Hapo watajipigia zaoHaya bana Mtani. Karibu jumamosi kwa Mkapa tutakuwa tunacheza na Township rollers
Ime editiwaMtani Msemaji wenu tu alishindwa kutulia nyumbani. 😂😂😂 ije kuwa nyie. 😀
Subiri uone.Hapo watajipigia zao
Hahahaaa. Imeeditiwa wapi wakati anaipenda Yanga kimoyo moyo.Ime editiwa
Nasikia pale uwanjani jana majukwaa yamekua kama mashamba ya alizetiHahahaaa. Imeeditiwa wapi wakati anaipenda Yanga kimoyo moyo.
Umeniacha mtani, sijaelewa ata.Nasikia pale uwanjani jana majukwaa yamekua kama mashamba ya alizeti
Kwamba rangi za jezi zenu zinafanana na alizetiUmeniacha mtani, sijaelewa ata.