Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙏🙏🙏🙏Ahsante shadeeya unatupa taarifa za timu
Tutakuwa tunatizama taarifa ya habari
Matokeo uliyapata?Tutakuwa tunatizama taarifa ya habari
Naungana nawe Mkuu. Bado Kikosi chetu ni tiamaji tiamaji. Ila tusubiri huenda wakizoweana kikawa bora.Bado hatuna kikosi imara cha kufanya tufurahi. Wale strikers bado wanarundikana, hawachezi kwa nafasi japo wana kiu ya kufunga.
Tunataka ndani ya dk 15, aidha kipa apate tabu au awe amefungwa tayari. Lkn mtu anamaliza dk 20 hajafanya kazi yoyote, Zahera na wachezaji sisi wanayanga hatutaki hayo
Tuna wachezaji wazuri ila Mwl bado hajapata nafasi ya kutosha ya kukaa na wachezaji. Tutakuja kuwa na timu Kali sanaNaungana nawe Mkuu. Bado Kikosi chetu ni tiamaji tiamaji. Ila tusubiri huenda wakizoweana kikawa bora.
Angalau Sibomana na yule dogo aliyetoka Alliance wanajitahidi ila hao wengine. Mmmh.
Eti eee! Afadhali umenipa moyo mana alikuwa hata sielewi elewi.Tuna wachezaji wazuri ila Mwl bado hajapata nafasi ya kutosha ya kukaa na wachezaji. Tutakuja kuwa na timu Kali sana
Leo roporopo halijatafuta wa kumwangushia jumba bovu kwa hii sare ya 1-1 nyumbani?Naskia kelele upande wa pili wakidai kuwa wao ndo mabingwa,sasa awajui kuwa iyo ni kitanzi apo baadae watakapo kutana tena marudianouko kwao,sasa moto watakao pelekewa uko kwao watajuta,namshauli Kocha wao ajitahidi kuipa mazoezi ya kutosha na kuangali mapungufu yapo wapi wayatatue.
MWINYI ZAHERA NGUVU MOHA.
Hata mimi sijamuelewa kwenye baadhi ya sehemu ya story yake.Huu mwandiko wako kweli Ni sale