Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

TIMU YA WANANCHI NDANI YA ZANZIBAR.

20190807_065201.jpg
20190807_065148.jpg

20190807_065133.jpg

20190807_065119.jpg

20190807_065100.jpg

20190807_065045.jpg

20190807_065027.jpg
 
Bado hatuna kikosi imara cha kufanya tufurahi. Wale strikers bado wanarundikana, hawachezi kwa nafasi japo wana kiu ya kufunga.

Tunataka ndani ya dk 15, aidha kipa apate tabu au awe amefungwa tayari. Lkn mtu anamaliza dk 20 hajafanya kazi yoyote, Zahera na wachezaji sisi wanayanga hatutaki hayo
 
Naungana nawe Mkuu. Bado Kikosi chetu ni tiamaji tiamaji. Ila tusubiri huenda wakizoweana kikawa bora.

Angalau Sibomana na yule dogo aliyetoka Alliance wanajitahidi ila hao wengine. Mmmh.
 
Tuna wachezaji wazuri ila Mwl bado hajapata nafasi ya kutosha ya kukaa na wachezaji. Tutakuja kuwa na timu Kali sana
 
KILA LA KHERI TIMU YA WANANCHI HAPO 18:00HRS DHIDI YA TOWNSHIP ROLLERS.

"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
 
Naskia kelele upande wa pili wakidai kuwa wao ndo mabingwa,sasa awajui kuwa iyo ni kitanzi apo baadae watakapo kutana tena marudianouko kwao,sasa moto watakao pelekewa uko kwao watajuta,namshauli Kocha wao ajitahidi kuipa mazoezi ya kutosha na kuangali mapungufu yapo wapi wayatatue.

MWINYI ZAHERA NGUVU MOHA.
 
Leo roporopo halijatafuta wa kumwangushia jumba bovu kwa hii sare ya 1-1 nyumbani?
 
Back
Top Bottom