Kwani mpira umeisha ama bado?
Tupeni matokeo wadau...
kagoda fc hili jina limetulia sana ila sijui ndiyo liletunalolida pesa za epa?
yanga 4-4 ethiopia full time
yanga 4-4 ethiopia full time
Tukianza kudai lile gorofa na uwanja vinatuhusu..ekzaktli
Mbona siamini, 4-4?