Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Wewe naye nishabiki mandazi kweli kweli sasa ulitaka jana tufanye nn timu 80% ni wapya kupata combination sio kazi raisi kama unavyo fikilia shukuru mungu timu imejituma na future inaonekana. Vp wale walikwenda msumbiji kucheza tetema?
Sare ugenini ndo imecheza tetema duuh kweli Yanga Baridiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sare ugenini ndo imecheza tetema duuh kweli Yanga Baridiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani Rollers walikuwa nyumbani kwao mbona mpira wamecheza na sare wamepata? Usiwe shabiki mandazi wewe.
 
Mkuu hvi kwanini atukwenda kushiriki Kagame maana naona ilikuwa kipimo kizuri kuliko kwenda morogoro?
 
Wewe naye nishabiki mandazi kweli kweli sasa ulitaka jana tufanye nn timu 80% ni wapya kupata combination sio kazi raisi kama unavyo fikilia shukuru mungu timu imejituma na future inaonekana. Vp wale walikwenda msumbiji kucheza tetema?
Sasa wewe ulioponea chupuchupu nyumbani mpaka kupewa penalty na mwenzio alietoa sare ugenini nani kachezeshwa tetema
 
Wewe naye nishabiki mandazi kweli kweli sasa ulitaka jana tufanye nn timu 80% ni wapya kupata combination sio kazi raisi kama unavyo fikilia shukuru mungu timu imejituma na future inaonekana. Vp wale walikwenda msumbiji kucheza tetema?
Tulia ww game approach ya ugenini nitofauti na home simba amafanikiwa kupata alicho kua anakitafuta so kwake ni mwanzo mzuri ww umeshindwa kutumia Home advantage afu unajilinganisha na walio dro ugenini kua serious mzee afu ukumbuke huko msumbij Tp mazembe alienda kakabugizwa Goal3 unapo sema alikua anacheza tetema labda hujajua Kwamashindano ya Africa unatakiwa utume game approach Gani ukiwa home or away so shabiki mwenzako anaposema viongoz wanayumba mwelewe tu
 
Reactions: Tui
Wamekutana na kibonde ndiomana umeona wamefunguka na mpira waka sukuma ipasavya
Kwani Rollers walikuwa nyumbani kwao mbona mpira wamecheza na sare wamepata? Usiwe shabiki mandazi wewe.
 
Pale Vyura wanapoona viongozi wao baridi hali ya kuwa wao wenyewe pia ni baridiiiiiiiiiiiiii.
 
Mpira hauna ugenini wala nyumbani baka alishinda tatu akapigwa nne

Kwahyo usikalili katika soka hatuna formula ya ushind unapigwa hata kwako

Kwahyo Simba kupata droo kule na ud songo ndio unategemea atashinda kwa urahis hapa taifa unajua timu pinzani inakuja na plan gani?¿??????
 
Baka alishinda 3 wapi????Sio nyumbani.?Kucheza nyumbani kuna advantage zake hasa kwa mashindano ya CAF ambalo kunakuwa na figisu figisu nyingi sana.
 
Kwa soka la Afrika, ‘faida ya kuwa nyumbani’ ni kubwa zaidi kuliko unavyofikiria. Ndio maana hata Papaa Zahera amekiri kuwa wana kazi ya ziada baada ya kuruhusu goli nyumbani.
 
Congratulation
Dar Young Africans Sc
kwa mchezo wa Jana kupata sare ya 1-1 home sio matokeo rafiki kwetu Ila timu inampira mzuri mno I believe. Away tutaenda kuwashangaza watu coz ninaimani sikuiyo tutaenda kupindua meza kibabe kama tukicheza mpira kama wa Jana tulio cheza second half.
YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…